Mwa. 14:13 SUV

13 Mtu mmoja aliyeponyoka akaenda, akampasha habari Abramu Mwebrania; naye amekaa panapo mialoni ya Mamre, yule Mwamori, ndugu ya Eshkoli, na ndugu ya Aneri, na hao walikuwa wamepatana na Abramu.

Kusoma sura kamili Mwa. 14

Mtazamo Mwa. 14:13 katika mazingira