Mwa. 14:14 SUV

14 Abramu aliposikia ya kwamba nduguye ametekwa mateka, akawapa silaha vijana wake, waliozaliwa katika nyumba yake, watu mia tatu na kumi na wanane, akawafuata mpaka Dani.

Kusoma sura kamili Mwa. 14

Mtazamo Mwa. 14:14 katika mazingira