4 Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
Kusoma sura kamili Mwa. 16
Mtazamo Mwa. 16:4 katika mazingira