Mwa. 16:5 SUV

5 Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. BWANA na ahukumu kati ya mimi na wewe.

Kusoma sura kamili Mwa. 16

Mtazamo Mwa. 16:5 katika mazingira