20 Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Kusoma sura kamili Mwa. 17
Mtazamo Mwa. 17:20 katika mazingira