28 Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arobaini na watano.
Kusoma sura kamili Mwa. 18
Mtazamo Mwa. 18:28 katika mazingira