Mwa. 18:29 SUV

29 Akazidi tena kusema naye, akinena, Huenda wakaonekana humo arobaini? Akasema, Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini.

Kusoma sura kamili Mwa. 18

Mtazamo Mwa. 18:29 katika mazingira