15 Hata alfajiri ndipo malaika wakamhimiza Lutu, wakisema, Ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili waliopo hapa, usipotee katika maovu ya mji huu.
Kusoma sura kamili Mwa. 19
Mtazamo Mwa. 19:15 katika mazingira