Mwa. 19:16 SUV

16 Akakawia-kawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe, na mkono wa binti zake wawili, kwa jinsi BWANA alivyomhurumia, wakamtoa wakamweka nje ya mji.

Kusoma sura kamili Mwa. 19

Mtazamo Mwa. 19:16 katika mazingira