17 Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde po pote; ujiponye mlimani, usije ukapotea.
Kusoma sura kamili Mwa. 19
Mtazamo Mwa. 19:17 katika mazingira