Mwa. 21:16 SUV

16 Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.

Kusoma sura kamili Mwa. 21

Mtazamo Mwa. 21:16 katika mazingira