Mwa. 21:17 SUV

17 Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko.

Kusoma sura kamili Mwa. 21

Mtazamo Mwa. 21:17 katika mazingira