60 Wakambarikia Rebeka, wakamwambia, Ndugu yetu, uwe wewe mama wa kumi elfu, mara elfu nyingi, na wazao wako waurithi mlango wa hao wawachukiao.
Kusoma sura kamili Mwa. 24
Mtazamo Mwa. 24:60 katika mazingira