Mwa. 24:61 SUV

61 Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:61 katika mazingira