Mwa. 27:45 SUV

45 hata ikuondokee ghadhabu ya ndugu yako, akasahau uliyomtenda. Ndipo nitakapopeleka watu kukuchukua kutoka huko. Kwa nini nifiwe nanyi nyote wawili siku moja?

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:45 katika mazingira