Mwa. 28:17 SUV

17 Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.

Kusoma sura kamili Mwa. 28

Mtazamo Mwa. 28:17 katika mazingira