Mwa. 28:18 SUV

18 Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 28

Mtazamo Mwa. 28:18 katika mazingira