Mwa. 29:12 SUV

12 Yakobo akamwarifu Raheli ya kuwa yeye ni ndugu wa babaye, na ya kuwa ni mwana wa Rebeka. Basi akapiga mbio akampasha babaye habari.

Kusoma sura kamili Mwa. 29

Mtazamo Mwa. 29:12 katika mazingira