Mwa. 29:13 SUV

13 Ikawa Labani aliposikia habari za Yakobo, mwana wa nduguye, akaenda mbio amlaki, akamkumbatia, akambusu, akamleta nyumbani kwake. Naye akamwambia Labani maneno hayo yote.

Kusoma sura kamili Mwa. 29

Mtazamo Mwa. 29:13 katika mazingira