33 Akapata mimba tena akazaa mwana, akasema, Kwa kuwa BWANA amesikia ya kwamba mimi sikupendwa, amenipa na huyu; akamwita jina lake Simeoni.
Kusoma sura kamili Mwa. 29
Mtazamo Mwa. 29:33 katika mazingira