Mwa. 29:34 SUV

34 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akasema, Basi wakati huu mume wangu ataungana nami, kwa sababu nimemzalia wana watatu. Kwa hiyo akamwita jina lake Lawi.

Kusoma sura kamili Mwa. 29

Mtazamo Mwa. 29:34 katika mazingira