Mwa. 3:5 SUV

5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.

Kusoma sura kamili Mwa. 3

Mtazamo Mwa. 3:5 katika mazingira