Mwa. 30:14 SUV

14 Reubeni akaenda siku za mavuno ya ngano akaona tunguja kondeni, akazileta kwa Lea mamaye. Ndipo Raheli akamwambia Lea, Nipe mimi baadhi ya tunguja za mwanao.

Kusoma sura kamili Mwa. 30

Mtazamo Mwa. 30:14 katika mazingira