Mwa. 30:15 SUV

15 Naye akamwambia, Je! Ni jambo dogo kuninyang’anya mume wangu; hata wataka kuzitwaa tunguja za mwanangu pia? Raheli akamwambia, Kwa hiyo atalala kwako usiku huu kwa tunguja za mwanao.

Kusoma sura kamili Mwa. 30

Mtazamo Mwa. 30:15 katika mazingira