Mwa. 31:25 SUV

25 Labani akamfikia Yakobo, na Yakobo alikuwa amepiga hema zake katika mlima, na Labani na ndugu zake wakapiga hema zao katika mlima wa Gileadi.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:25 katika mazingira