Mwa. 31:26 SUV

26 Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:26 katika mazingira