Mwa. 31:27 SUV

27 Mbona umekimbia kwa siri ukanihadaa, wala hukuniambia, nipate kuagana nawe uende zako kwa furaha, na nyimbo, na ngoma, na kinubi?

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:27 katika mazingira