Mwa. 31:33 SUV

33 Labani akaingia katika hema ya Yakobo, na hema ya Lea, na hema ya vijakazi wawili, wala hakuiona. Akatoka katika hema ya Lea, akaingia katika hema ya Raheli.

Kusoma sura kamili Mwa. 31

Mtazamo Mwa. 31:33 katika mazingira