34 Basi Raheli alikuwa amevitwaa vile vinyago ameviweka katika matandiko ya ngamia, na kuvikalia. Labani akapapasa hema yote wala hakuviona.
Kusoma sura kamili Mwa. 31
Mtazamo Mwa. 31:34 katika mazingira