41 Miaka hii ishirini nimekaa nyumbani mwako; nilikutumikia miaka kumi na minne kwa binti zako wawili, na miaka sita kwa wanyama wako, nawe umebadili mshahara wangu mara kumi.
Kusoma sura kamili Mwa. 31
Mtazamo Mwa. 31:41 katika mazingira