Mwa. 33:13 SUV

13 Akamjibu, Bwana wangu anajua ya kuwa watoto ni wachanga, tena kondoo na ng’ombe nilio nao wanyonyesha. Hao wanyama wakiharakishwa siku moja, watakufa wote.

Kusoma sura kamili Mwa. 33

Mtazamo Mwa. 33:13 katika mazingira