Mwa. 33:14 SUV

14 Tafadhali bwana wangu na apite mbele ya mtumwa wake; nami nitawaongoza polepole kwa kadiri ya mwendo wa wanyama walio mbele yangu, na kwa kadiri ya mwendo wa watoto, hata nitakapofika kwa bwana wangu huko Seiri.

Kusoma sura kamili Mwa. 33

Mtazamo Mwa. 33:14 katika mazingira