Mwa. 36:17 SUV

17 Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.

Kusoma sura kamili Mwa. 36

Mtazamo Mwa. 36:17 katika mazingira