Mwa. 36:18 SUV

18 Na hawa ni wana wa Oholibama, mkewe Esau; jumbe Yeushi, jumbe Yalamu, jumbe Kora. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau.

Kusoma sura kamili Mwa. 36

Mtazamo Mwa. 36:18 katika mazingira