Mwa. 36:6 SUV

6 Esau akawatwaa wakeze, na wanawe, na binti zake, na watu wote wa nyumbani mwake, na ng’ombe zake, na wanyama wake wote, na mali yake yote, aliyoyapata katika nchi ya Kanaani; akaenda mpaka nchi iliyo mbali na Yakobo nduguye.

Kusoma sura kamili Mwa. 36

Mtazamo Mwa. 36:6 katika mazingira