Mwa. 38:28 SUV

28 Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mzalisha akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:28 katika mazingira