Mwa. 38:29 SUV

29 Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi.

Kusoma sura kamili Mwa. 38

Mtazamo Mwa. 38:29 katika mazingira