Mwa. 39:22 SUV

22 Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliomo gerezani; na yote yaliyofanyika humo ndiye aliyeyafanya.

Kusoma sura kamili Mwa. 39

Mtazamo Mwa. 39:22 katika mazingira