23 Wala mkuu wa gereza hakuangalia neno lililoko mkononi mwa Yusufu; kwa kuwa BWANA alikuwa pamoja naye. BWANA akayafanikisha yote aliyoyafanya.
Kusoma sura kamili Mwa. 39
Mtazamo Mwa. 39:23 katika mazingira