Mwa. 39:6 SUV

6 Akayaacha yote aliyokuwa nayo mkononi mwa Yusufu; wala hakujua habari za kitu cho chote chake, ila hicho chakula alichokula tu.Naye Yusufu alikuwa mtu mzuri, na mwenye uso mzuri.

Kusoma sura kamili Mwa. 39

Mtazamo Mwa. 39:6 katika mazingira