Mwa. 39:8 SUV

8 Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, Tazama, bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu nyumbani, na vyote alivyo navyo amevitia mkononi mwangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 39

Mtazamo Mwa. 39:8 katika mazingira