Mwa. 39:9 SUV

9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?

Kusoma sura kamili Mwa. 39

Mtazamo Mwa. 39:9 katika mazingira