14 Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.
Kusoma sura kamili Mwa. 41
Mtazamo Mwa. 41:14 katika mazingira