15 Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri.
Kusoma sura kamili Mwa. 41
Mtazamo Mwa. 41:15 katika mazingira