Mwa. 41:42 SUV

42 Farao akavua pete yake ya muhuri mkononi mwake, akaitia mkononi mwa Yusufu; akamvika mavazi ya kitani nzuri, na kumtia mkufu wa dhahabu shingoni mwake.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:42 katika mazingira