Mwa. 41:43 SUV

43 Akampandisha katika gari lake la pili alilokuwa nalo. Na watu wakapiga kelele mbele yake, Pigeni magoti. Hivyo akamweka juu ya nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:43 katika mazingira