Mwa. 41:55 SUV

55 Na nchi yote ya Misri ilipoona njaa, watu walimlilia Farao awape chakula. Farao akawaambia Wamisri wote, Enendeni kwa Yusufu; atakavyowaambia, fanyeni.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:55 katika mazingira