Mwa. 41:56 SUV

56 Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 41

Mtazamo Mwa. 41:56 katika mazingira