Mwa. 42:32 SUV

32 Sisi tu ndugu kumi na wawili, wana wa baba yetu. Mmoja hayuko, na mdogo wetu yuko pamoja na baba yetu leo katika nchi ya Kanaani.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:32 katika mazingira