Mwa. 42:33 SUV

33 Yule mtu, bwana wa nchi, akatuambia, Kwa njia hii nitawajua kama ninyi ni watu wa kweli; ndugu yenu mmoja mwacheni huku kwangu, kachukueni nafaka kwa njaa ya nyumba zenu, mwende zenu.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:33 katika mazingira